.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

PICHA: Kitendo cha Dada yake Diamond Kudendeka na Wema Chawa Gumzo Mtandaoni

PICHA: Kitendo ya Dada yake  Diamond Kudendeka na Wema Chawa Gumzo Mtandaoni
Siku za hivi karibuni kumeibuka na mtindo mpya wa watu kulishana keki wa kutumia mdomo yaani “Kudendeka”.
Picha ya mrembo na mwigizaji wa filamu  Wema Sepetu akilishwa keki kwa mdomo na dada yake Diamond, Esma imeibua mjadala mtandaoni baada ya baadhi ya watu kudai kuwa Wema anataka kumrusha roho Zari ambae awari aliandika ujumbe mtandaoni na kumuita Esma WIFI. Huku wengine wakiona kama ni kawaida.
PICHA: Kitendo ya Dada yake  Diamond Kudendeka na Wema Chawa Gumzo Mtandaoni 1PICHA: Kitendo ya Dada yake  Diamond Kudendeka na Wema Chawa Gumzo Mtandaoni 2PICHA: Kitendo ya Dada yake  Diamond Kudendeka na Wema Chawa Gumzo Mtandaoni 3
Tukio hilo lilifanyika hivi majuzi, kwenye Birthday Party ya Esma iliyofanyika Samaki Samaki, Masaki.
Mastaa kadhaa wa hapa Bongo walitokea kwenye pati hiyo wakiwemo, Aunty Ezekiel, Queen Dorleen,Mirror na wengine wengi.
Jionee Badhi ya picha za kwenye pati hiyo hapo juu.
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad