.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Zari Ndani ya Dar, Kwa Mara yakwanza athibitisha kuhusu Uhusiano wake na DiamondPlatnumz

Kupitia Instagram mrembo huyo wa Uganda ambaye makazi yake yako Afrika Kusini amepost picha kadhaa akiwa na mpenzi wake Diamond Platnumz kwenye Gari aina ya BMW Katika mitoko yako ya weekend. Zari Tlale a.k.a The Boss Lady yupo ndani ya jiji la Dar au kama anavyopaita mrembo huyo D-City. 

Licha ya sasa kuwa Diamond na Zari wanajulikana kuwa ni wapenzi lakini wanapoulizwa juu ya Uhusiano wao wamekuwa wakikanusha na kusisitiza kuwa wanaproject ya pamoja.Lakini safari hii amethibitisha mwenyewe kwa kauli yake baada ya kumuita Girlfriend wa dancer wa Diamond 'wifi'
Kwenye picha aliyopiga na msichana huyu zari ameandika "with wifi@jujudumz Out and about D-City"
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad