Tuesday, 17 March 2015

BONDIA FRANCIS CHEKA AACHIWA, KUTUMIKIA KIFUNGO CHA NJE

 

 
BONDIA Francis Cheka aliyehukumiwa kifungo cha miaka mitatu kwenda jela kwa kosa la kumpiga ngumi meneja wa baa yake, amebadilishiwa adhabu ya kifungo.Cheka amechiwa na kutoka gerezani na sasa anatakiwa kutumikia kifungo cha nje.

No comments:

Post a Comment