Thursday, 19 March 2015

Matokeo ya Mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya leo Jumatano 18/3/2015







Huo ndo mwisho wa Manchester city katika mashindano ya UEFA na Barcelona wamefuzu


Upande huu Juventus amefuzu na timu ya Ujerumani, Dortmund ndo imeishia hatua hii
 
Picha zaidi zenye quality nzuri za Mechi hizi Bofya Hapa 

No comments:

Post a Comment