Kupitia ukurasa wao ya facebook E-fm Radio-dar ES Salaam walimtakia heri ya kuzaliwa Samira Kiango kwa kuandika, "Leo ilikuwa siku ya kuzaliwa kwa mwanafamilia wa 93.7 efm tunamtakia maisha marefu yenye furaha na amani pamoja na mafanikio."
Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
0 comments :
Post a Comment