Friday, 6 March 2015

Picha za party ya Samira Kiango ndani ya Efm Radio



Kupitia ukurasa wao ya facebook E-fm Radio-dar ES Salaam walimtakia heri ya kuzaliwa Samira Kiango kwa kuandika, "Leo ilikuwa siku ya kuzaliwa kwa mwanafamilia wa 93.7 efm tunamtakia maisha marefu yenye furaha na amani pamoja na mafanikio."






















No comments:

Post a Comment