.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Wiz Khalifa na Amber Rose wafikia Makubaliano ya Kumlea mtoto wao

Amber Rose ameongea na Wiz Khalifa baada ya kusikia nyimbo iitwayo "See You Again."

Kwa mujibu wa Mtandao wa TMZ, Wiz Khalifa na Amber Rose wamekubaliana kumtunza mtoto wao mwenye miaka 2, Sebastian

Mtandao huo umandika kwamba Rapa huyo kutoka Pittsburgh alimuomba Amber Rose asikilize nyimbo yake mpya iitwayo "See You Again," ambayo inasikika kwenye movie ya Furious 7. 

"How could we not talk about family when family's all that we got?” mmoja wa mstari wa Wiz Khalifa.
 "Everything I went through you was standing there by my side / And now you gonna be with me for the last ride."

Baada ya kusikia nyimbo hio, inasemekana Rose alimpigia Wiz na kukubali kushirikiana kwenye kumkuza mtoto wao huyo 
Sebastian (Mtoto wa Wiz Khalifa na Amber Rose)
Amber Rose na Wiz Khalifa waliachana Septemba 22. Rose alimpa Wiz haki ya kumtembelea Sebastian, kumfanya Wiz kutafuta haki ya kumlea mtoto.

Mwezi uliopita, Wiz Khalifa aliripotiwa kutafuta ulinzi wa ziada wa Sebastian

Pia mwezi February, Amber Rose alisema kwamba tabia ya Wiz Khalifa ya kupenda wanawake ilikuwa inasumbua sana hisia za  Amber  

"Kwa kuwa mimi niliomba talaka kwa mume wangu kwani amekuwa nje na wanawake 50 tofauti," alisema Amber.

 "Wasichana hawa wengine wote, mimi sito ongea chochote, wasichana hawa wengine wote, wafanye chochote.  katika nyumba kilio kila siku, maombolezo kwa mume wangu., Unajua, nilikuwa naona kwa undani zaidi. "

Isikilize nyimbo hii Hapa...


Tuachie Comment yako, Pia waweza share Facebook, Twitter na marafiki zako wasome,.....

Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad