See You Again ilisikika katika Movie ya Fast and Furious 7 iliotoka hivi karibuni kama uliicheki utaelewa nacho ongea hapa na kama bado basi ujachelewa na special thanks kwangu kwa kukujuza mapema wakati movie ikiwa bado very Hot.
Hii ni nyimbo special kwa Marehemu Paul Walker ambae alifariki kwa ajali ya gari kabla ya uigizaji wa movie kuisha, Ilikuwa ni pigo kubwa sana kwa tasnia ya uigizaji kwani alikuwa yupo vizuri sana kwenye sector hio...
Enjoy the Good Music Wiz Khalifa ft Charlie - See You Again....
#RIPpaulwalker
. Good Morning ,,...
0 comments :
Post a Comment