Kesi dhidi ya mwanamuziki Chris brown huko mjini Las Vegas nchini Marekani imefutwa.
Polise mjini las vegas waliongea Jumanne.(May 5) kwamba mwanaume aliye mshtaki star huyo kwamba alimpiga ngumi wakati wa mechi ya basket ball amefuta kesi hio ya jinai.
Mwakilishi wa Chris brown ametoa maelezo kuhusiana na kesi ya Las Vegas
Polisi wa Las Vegas walisema Brown (25), anatuhumiwa kumpiga mwanaume ambae amekutwa hospitali ya Sunrise Hospital & Medical Center mapema jumatatu.
Mwanaume huyo alisema alikuwa anacheza basket ball Palms Casino Resort ndipo alipo ingia katika marumbano ya kuhesabu point na mwanamuziki huyo. Alieleza Brown alimpiga ngumi, wakati anajianda kujilinda, mtu mwingine wa mwanamuziki huyo alimpiga pia.
0 comments :
Post a Comment