Leo ndo Leo asemae kesho muongo, Ile tarehe 1/May/2015 ikiwa pia ni siku-kuu ya taifa 'Mei Mosi' basi pia leo Mfanyabiashara wa kike kutoka Uganda, mwenye makazi yake nchini Afrika Kusini, Zarinah Hassan a.k.a 'ZariTheBossLady' ambae pia ni mpenzi wa msanii Diamond Platnumz, ameanda "ZariAllWhiteParty" katika ukumbi wa Mlimani City, Dar es salaam , huku Diamond Platnumz ametoa ahadi ya kuufanya usiku ya leo kuwa wa historia.
Show hii ya leo inatarajiwa kuhudhuriwa na mastaa kibao wa nje na ndani ya Tanzania, itakuwa hosted na 'Zari', wapo mastaa ambao tayari wamesha tangaza na wale wa nje ya nchi baadhi wameshafika. List ni kubwa sana na wengi tunategemea watakuwepo, burudani kutoka kwa team ya Wasafi Classic inayoongozwa na Diamond Platnumz
Kutoka nchi Jirani nazungumzia Kenya tayari Huddah Monroe ametangaza uwepo wake huku akitarajiwa kutua na "Private Jet" akitokea Kenya mchana wa leo.
Zari anakwambia "Kimenukaa"
"Comment Staa gani ambae unatarajia kumuona katika Party ya Leo."
0 comments :
Post a Comment