Thursday, 25 June 2015

Dr Asha-Rose atua nyumbani, Apokea Majina ya Wadhamin

Displaying IMG-20150625-WA0006.jpg
Dr Rose Migiro akipokea majina ya wadhamin toka kwa katibu wa CCM Mwanga Bi Mwanaidi



Displaying IMG-20150625-WA0008.jpg
Dr Rose akiwa na list yake ya wadhamini Mwanga Kilimanjaro


Displaying IMG-20150625-WA0007.jpg
Dr Rose akiwa na kaka zake kwenye kaburi la baba yake Cheif Shaaban Mndorwe Mtengeti Sangiwa II na babu zake waliotangulia, kijiji cha Lomwe Usangi

No comments:

Post a Comment