Tuesday, 30 June 2015

Gonzalez amuua Mjomba wake baada ya penalti ya ushindi iliyoitoa Brazil Copa Amerika

Photo published for Derlis Gonzalez's uncle dies celebrating nephew's winning penalty

Shujaa wa Penalti iliyowapeleka Paraguay kwenye Nusu-Fainali ya Copa America, Derlis Gonzalez (21), alilazimika kukatisha sherehe zake kufatia taarifa kwamba penalti aliyopiga imechukua maisha ya mjomba wake aliyekufa kwa shinikizo la damu kwa furaha ya goli hilo alilofunga usiku wa kuamkia jana. Mjomba wake huyo alikuwa akiangalia mechi hiyo kwenye Televisheni. 

Gonzalez kisha aliandika kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter: "Kwanini leo mjomba? kwanini? umeniacha kwa shinikizo la damu kwasababu nimekupa furaha kubwa mno. siamini."  

No comments:

Post a Comment