Ushauri huo umetolewa na watu wa karibu wa nyota huyo wa kikapu baada ya hivi karibuni kuwapoteza rafiki zake wa karibu waliofariki kutokana na matumizi ya dawa hizo.
Kwa mujibu wa watu hao, hatua aliyofikia Odom hivi sasa ni afanye uamuzi wa kuchagua vitu viwili kati ya kifo au kwenda kwenye kituo (rehab) kwa ajili ya kuacha dawa hizo
No comments:
Post a Comment