Monday, 29 June 2015

VIDEO: HIVI NDIVYO PARAGUAY WALIVYO ITOA BRAZIL KWA PENATI COPA AMERICA



Paraguay wameiondosha Brazil katika michuano ya Copa America kwa penalti 4-3 na kutinga hatua ya nusu fainali ambapo watakabiliana na Argentina.
Mchezaji wa Everton, Ribeiro na Douglas Costa walikosa penalti kwa upande wa Brazil

Tazama jinsi wanaume walivyopiga matuta;

No comments:

Post a Comment