Wednesday, 1 July 2015

@FidQ aingia kwenye orodha ya wasanii 20 bora wa Hip Hop barani Afrika mwaka 2015

11381437_485490351618961_523648809_n

Farid Kubanda aka Fid Q ameingia kwenye orodha ya wasanii 20 bora wa Hip Hop barani Afrika mwaka 2015 kwenye jarida la SA Hip Hop.


.
“Kiukweli kama nimeweza kutusua kwenye hiyo top 20 bila ya kuwa na video, sijui itakuaje nikianza kuzitoa,” ameandika Fid kwenye Twitter.

 “Kuna umuhimu wa kutoa video nzuri.. Humbled.”




Hii ndio orodha nzima:
1.AKA – Afrika Kusini
2.Sarkodie – Ghana
3.Ice Prince – Nigeria
4.Cassper Nyovest – Afrika Kusini
5.M.I. – Nigeria
6.K.O. – Afrika Kusini
7.Manifest – Ghana
8.K’naan – Somalia
9.Zues – Botswana
10.Phyno – Nigeria
11.Olamide – Nigeria
12.Dee Money – Ghana
13.Octopizzo – Kenya
14.Tumi – Afrika Kusini
15.Stunner –Zimbabwe
16.Youssoupha – Congo
17.Dama Do Bling – Msumbiji
18. Fid Q – Tanzania
19.Cleo Ice Queen – Zambia
20.Cal Vin – Zimbabwe

No comments:

Post a Comment