Mnigeria awashangaa waliohudhuria BET
Msanii wa muziki nchini Nigeria, Imelda Okwori 'Imelda J', amewashangaa wasani barani Afrika kuhudhuria katika tuzo kubwa Duniani zinazoanaliwa na kituo cha Tv cha Marekani cha (BET) Black Entertainment Television zilizofanyika Los Angeles nchini Marekani.
"Ni kitu cha kushangaza kwa wasanii wa Afrika Kushiriki utoaji wa tuzo hizo kwa kuwa zinakabidhiwa saa moja kabla ya tukio hilo alafu nje ya jukwaa kuu.
"Wanatutenga, inatakiwa tufikie wakati tujikubali wenyewe, tugome kisha, tuziboreshe na kujivunia zetu," alisema Imelda
No comments:
Post a Comment