Wednesday, 1 July 2015

Video: Floyd Mayweather azidi kumtania Manny Pacquiao



Ukiachana na uwezo wa Floyd Mayweather wa kurusha ngumi ulingoni na kuweza kushinda mechi zote za ngumi alizopigana, huku ushindi wake wa mwisho aliupata baada ya kumdunda Manny Pacquiao mwezi mei mwaka 2015, pia Floyd upenda kufanya matani na kuweka katika kurusa zake za mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram, Twitter na nyingine nyingi. Leo nimekuletea hii video inayomuonesha Floyd akiongea na sanamu la madukani huku  akiigiza kama anaongea na mpizani wake Manny kisha kumchapa makofi 

Angalia Video hapa chini....
A video posted by Floyd Mayweather (@floydmayweather) on

No comments:

Post a Comment