Saturday, 12 September 2015

Video: Cristiano Ronaldo awajibu mashabiki waliokuwa wakimtania


picha kutoka maktaba

Kwasasa yawezekana Cristiano Ronaldo ameshazoea utani wa kutajiwa jina la 'Messi, Messi', ila nyota huyo wa klabu ya Real Madrid amepata njia mpya za kukabiliana na matani kutoka kwa mashabiki.

Mashabiki wa Albania walifika kwa wingi siku ya jumatatu jioni wakati Ronaldo akijianda kuichezea timu yake ya taifa Ureno katika mechi za kufuzu Euro 2016, lakini badala ya kupuuza maneno ya umati wa watu, alikuwa akiwajibu kwa ishara kuwa waongeze sauti kwani hasiki 


No comments:

Post a Comment