.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Hivi ndivyo John Terry alivyomuaga Jose Mourinho



Kapteni wa klabu ya chelsea, ambaye alikuwa amewekwa benchi na kocha mreno katika msimu huu, amempongeza meneja wake wa zamani kwa kusema kuwa 'Ni bora kuliko niliofanya nao kazi'

John Terry ametuma pongezi kwa Jose Mourinho baada ya kocha huyo kufukuzwa na klabu ya Chelsea siku ya Alhamis



Mourinho amemaliza muda wake wa pili katika klabu ya chelsea miezi saba baada ya kushinda kombe la ligi kuu Uingereza na sasa ameiacha klabu ikiwa nafasi ya 16, na point 15 katika mechi 16 walizocheza

Terry ambae alikuwa ameshushwa na Mourinho msimu huu, amempongeza meneja wake wa zamani katika mtanndao wa instagram.

Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad