Monday, 7 December 2015

Manchester United Yamkwepa Pep Guardiola


Kocha wa Bayern Munich Pep Guardiola

Wawimiliki wa Manchester United wamesema hawana mpango wa kumpeleka Old Trafford kocha mwenye mpango wa kutimka Bayern Munich, Pep Guardiola badala yake watang'ang'ana na kocha wa sasa Louis Van Gaal licha ya mdachi huyo kukoselewa mno kutokana na mwenendo mbovu wa timu msimu huu.

No comments:

Post a Comment