Friday, 18 December 2015

Mtoto wa miaka 4 akutwa akiishi na maiti ya mama yake kwa siku mbili

BB1

Mpangaji wa duka amepongezwa baada ya kumuokoa mtoto wa miaka 4 aliyekuwa amekaa na maiti ya mama yake baada ya kufariki ghafla kwenye apartment.

Taijuan Littleton anasema alikuwa na appointment na mteja wake Shaleena Hamilton, ila hakuwa anajibu mlango wakati alipofika kwake. Mtoto wake wakiume Bryan Allen ndo alifungua mlango baada ya kumwambia Littleton kuwa ameshindwa kumuamsha mama yake.



Littleton alipiga simu 911 na kumchukua Bryan kwenye gari lake a kazi, na kumfunika na blanket.
Polisi wanasema mtoto huyo alishindia maziwa na maple syrup kwa siku mbili. Uchunguzi unaonesha mama yake alifariki kwa matatizo hasilia 

Bryan kwasasa yupo katika uangalizi wa ndugu

Polisi watampatia zawadi ya bicycle mpya na nyingine nyingi siku ya jumatatu

No comments:

Post a Comment