Friday, 11 March 2016

Lil Mama Akamatwa na polisi Kwa Kutumia Leseni ilokuwa imesimamishwa



Lil Mama alikamatwa mida ya 4 alfajiri siku ya Alhamisi mjini Harlem baada ya kusimamishwa kwa kosa la kuendesha spidi 38 badala ya 25. 

Tatizo halikuwa kwamba anaendesha spidi, ila alikuwa anaendesha na leseni ilioisha. Lil Mama alikaa jela usiku mzima.



No comments:

Post a Comment