.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Nay wa Mitego afunguka kwanini hakumshikisha adabu Diamond wala Ali Kiba kwenye nyimbo ya #ShikaAdabuYako.


Baada ya baadhi ya mashabiki kumzukia Nay wa Mitego kwamba kwanini hakuwachana Diamond na Ali Kiba kwenye wimbo wa shika adabu yako kama alivyofanya kwa wasanii wengine Nay amesema hakuona umuhimu wa kufanya hivyo.
Nay pia amesema kuwa masuala ya Diamond na Ali Kiba yameshazoeleka kwa hiyo hakutana kufanya kitu ambacho watu wanakijua.
Sitaki kufanya kitu ambacho kila mtu anacho kichwani mwake,kila mtu alikuwa anategemea ningemdiss Ali kiba au Diamond..sikutaka tu,japo kuna vitu vya kuzungumza juu yao lakini havikuwa muhimu sana kama nilivyovitaja kwenye wimbo” alisema Nay.
Source: Clouds
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad