Thursday, 10 March 2016

Official Video: Young Thug Feat. Duke "My People"



Ikiwa bado tunasubiri album mpya ya Slime msimu watatu, Young Thug ameamua kuturudisha mwezi uliopita katima projecti ya I'm Up na kuachia video ya 'My People' aliomshirikisha Duke

Video iliokuwa directed na director Be Al Be, Thugger anaonekana anatembea katika mitaa ya ATL, Thugger na watu wake wanaonekana wakinyoosha viganya vyao, huku wakituma message. 




Katika habari nyingine, Inasemekana Young Thug anatengeneza remix ya 'Rocket Man' na Sir Elton John.

No comments:

Post a Comment