Kabla ya 50 Cent hajaachia nyimbo yake mpya alio shirikiana na Chris Brown mapema leo (May 6) iitwayo "No Romeo No Juliet," Kiongozi huyo wa G-Unit ameachia video ya remix ya 'Im The Man' alimshirikisha Chris brown
Baada ya kuchukua jumba la kifahari katika milima ya hollywood, Fif na Breezy wanaonesha maisha yao ya kifahari wakiwa na wasichana tofauti.
Video hii imeongozwa na Eif Rivera. Huku kabla ya video kuisha kipande cha nyimbo yao ijayo "No Romeo No Juliet," ambapo wawili hao wanachukua pesa nyingi na kuelekea katika kumbi ya starehe.
ANGALIA VIDEO HIO CHINI
0 comments :
Post a Comment