Tuesday, 3 May 2016

Utengenezaji wa Fast and Furious 8 waanza rasmi



Imethibitishwa kuwa utengenezaji wa Fast and Furious 8 umeeanza nchini Cuba. Tarajia kumuona tena Vin Diesel, akiwa na Michelle Rodriguez, Tyrese Gibon, Chris 'Ludacris' Bridges na Statham

Fast and Furious 8 imeanza kutengenezwa huko Cuba huku ikiwa inaongozwa na muongozaji wa movie ya Straight Outta Compton, F. Gary Gray.




Fast and Furious 8 inatarajiwa kuwa kwenye majumba ya cinema tarehe 14/04/2017


Taraji kuona sura mpya katika msimu huu wa F8 

No comments:

Post a Comment