Monday, 9 January 2017

New Song: "Sina Swagga" - Young Killer, atuma ujumbe kwa Dogo Janja na Young Dee

Image result for young killer  sinaga

Young killer amekuwa miongoni mwa vijana wadogo ambao wameendelea kuwa kwenye chart ya muziki wa hip hop kwa muda mrefu. 

Image result for young killer sina swagga


Image result for young killer kumekuchaImage result for young killer mtafutaji

Ni takribani miezi 7 imepita tangu Young Killer aachie nyimbo yake inayoenda kwa jina la "Kumekucha" aliomshirikisha Mr Blue, kisha kuachia nyimbo yake ya "Mtafutaji" mwishoni wa mwaka 2016.


Young Killer amerudi tena kwenye masikio ya mashabiki wa muziki mzuri kwa kuachia kazi yake mpya iitwayo "Sina Swagga" ambayo young ameeleza mengi kwenye nyimbo hio,


Image result for young killer young dee dogo janja

 "Kuhusu kufunikwa siwazi 
   kuhusu Janjaro na Young Dee 
   mimi ndo mkubwa wao wakazi 
   tumewasifu kukimbia madogo
   wamepapita kwao leo imefikia
    mwisho nimechoka kelele zao." ameimba Young killer


No comments:

Post a Comment