Friday, 17 February 2017

Music Video: Kodack Black - Tunnel Vision

Image result for Kodak Black - Tunnel Vision

Msanii wa Hip Hop maarufu kama Kodack Black kutokea Pompano Beach katika state ya Florida nchini Marekani ameachia ngoma mpya iitwayo "Tunnel Vision"

Kodack Black akiwa ni miongoni mwa rapa wanaokuja kwenye game kwa kasi tangu mwaka 2013, mpaka kufikia sasa akiwa chini ya lebo ya Atlantic Records

Akiwa bado anasumbuliwa na kesi za sheria, Kodack Black ametoka kitofauti katika nyimbo hii mpya iliotengenezwa na Metro Boomin pamoja na Southside.

Katika nyimbo hii Kodack Black ameeleza kuwa japo na matatizo yote anayopitia anachohitaji ni msichana wakumtunza 

Cheki kichupa Cha Kodack Black - Tunnel Vision kisha tuachie maoni yako

No comments:

Post a Comment