Saturday, 22 April 2017

Organized Noize - Kush Ft. 2 Chainz & Joi [Official Audio]



Wakali wa Uzalishaji wa Muziki mjini Atlanta nchini Marekani wajulikanao kama Organized Noize wataachia Albamu yao itakayo washirkisha wakali kama Big Boi, Cee-Lo Green, Sleepy Brown, Scar na wengine wengi. 




Albamu hio ipo tayari katika mtandao wa ITUNES unaweza nunua kwa kubonya HAPA, Kwa wale walionunua kabla wamepokea nyimbo yakwanza bure iitwayo "KUSH" ilioachiwa siku ya kusherekea 420 duniani.




Utaweza kuwasikia wakongwe wa Atlanta 2 Chainz na Joi (Kutoka Dungeon Family), Chukua muda wako kusikiliza Collabo hii matata na usiache kutuo maoni yako kwenye upande wa Comments chini


No comments:

Post a Comment