Sunday, 23 April 2017

Sports: Burnley 0 - 2 Manchester United 23/04/2017 Premier League





Joey Barton wa Burnley akitia saini kwa mashabiki kabla ya mechi dhidi ya Manchester United


Wayne Rooney akishuka katika basi la wachezaji akielekea uwanjani kupambana dhidi ya Burnley

Kocha wa Manchester United akifika katika uwanja wa Burnley Turf Moor

Wachezaji wa Manchester United wakipasha misuli huku wakiwa wamevaa uzi wenye majina ya Marcos Rojo na Ibrahimovic ambao wapo majeruhi.

Kocha wa zamani Alex Ferguson pia alifika uwanjani 

Kocha wa Burnley Sean Dyche akisalimiana na Kocha wa Manchester United Jose Mourinho kabla ya mechi kuanza

Goal la Martial (kwa njia ya mchoro) 


Rooney akishangilia baada ya kuifungia Manchester United goli la 2 huku likiwa goli lake lakwanza tangu January.

Paul Pogba wa Manchester United akiwa anatoka uwanjani akiwa na majeraha aliopata dakika za mwisho wa mchezo.


No comments:

Post a Comment