Dj Khaled ameachia kipande cha video akiwa pamoja na Rihanna, Bryson Tiller wakishoot pamoja na Colin Tilley, director wa video mpya ya Dj Khaled iitwayo Wild Thoughts alioachia siku tatu zilizopita.
Wild Thoughts inapatikana kwenye Album mpya ya Dj Khaled ambayo ameshirikishwa Rihanna, Bryson Tiller na wengine wengi.
Mpaka sasa video ya nyimbo hio imeangaliwa na zaidi ya watazamaji Milioni 15 katika mtandao wa yotube ikishika namba 1.
Unaweza kuangalia video na kuacha maoni yako
0 comments :
Post a Comment