Tuesday, 20 June 2017

Captain America (Chris Evans) kumaliza muda wake 2019


Image result for chris evans captain america

Mwanzoni mwaka huu (2017) kulikuwa na habari kwamba Chris Evans hatocheza tena kwenye Marvel's Captain America 


Baada ya miezi miwili sasa Chris Evans ameongea na kuhakikisha kuwa toleo la nne la movie za Avengers (May 3, 2019) ndo itakuwa movie yake ya mwisho kama Captain America.


"Nilikuwa na filamu sita ndani ya mkataba na Marvel, ningesema baada ya toleo la tatu la Avengers ingekuwa nimemaliza, ila walitaka kutengeneza toleo la tatu na nne,'' alisema Evans. 


(Brie Larso's Captain Marvel's inatarajiwa kuachiwa katikati ya Avengers: Infinity War na toleo la nne Avengers mnamo Marchi 08, 2019.)

Image result

No comments:

Post a Comment