Desiigner ameendelea kuachia nyimbo mpya, baada ya wiki chache ziliopita kuachia video ya "Outlet," na nyimbo aliyoshirikishwa na Wiz Khalifa kwenye "X 4 X 4" pamoja na "Up Next" ya Ski Mask.
Desiigner kutoka label ya G.O.O.D Music ameamua kuja tena kwa mara ya tatu na kuachia nyimbo mpya iitwayo "Liife" aliomshirkisha Gucci Mane
Desiigner anategemea kuachia album yake ya Life Of Desiigner. Chukua muda wako kusikiliza ngoma hio iliopikwa na Taz Taylor. (Shuka chini kusikiliza na Unaweza pakua nyimbo hio kwa kubonyeza HAPA)
0 comments :
Post a Comment