.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

HUYU NDIO MWANAMKE TAJIRI AFRICA MASHARIKI NA HUU NDIO UTAJIRI WAKE

Zari ni mrembo mwenye makazi yake Africa Mashariki katika nchi ya Uganda, Ni mrembo haswa mwenye umate mate wakutosha wa kumwezesha kumiliki Usingizi mzuri magari ya kifahari yani full kipupwe.
Maisha ya raha kwake ni sawa na doze anaweza kufanya chochote kwani umate mate unaongea. Lakini je umate mate huu umetokana na nini mimi na labda na wewe tutabaki kujiuliza bila majibu lakini mwenyewe anajua . 




Zari akiwa kajipumzisha nyumbani kwake, Jitiririshe chini

Huu ndiyo usingizi wake full kipupwe

Unaweza kuona na kutambua kuwa kizuri kula na ndugu zako

Usafiri wa kwendea sokoni ni habari ya mjini

Usafiri wa kwendae duka

Huu ni usafiri wa kwendea kwenye shughuri za kioffice



Uwani kwake magari ya wageni wakitaka kuzunguka mjini

Usafiri wa kumpeleka mtoto shule na kumrudisha

Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments :

  1. She is equally pretty too. Trust she has the 'brains' as well. Share her profile please

    ReplyDelete

ad