.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

MSANII MAARUFU ANUNUA GARI LA SHL BILIONI 3.5, CHEKI PICHA HAPA

Rapper wa YMCMB, Tyga amenunua gari la kifahari lenye thamani ya dola milioni 2.2 ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni 3.5.Vyanzo vilivyo karibu na Tyga vimeuambia mtandao wa TMZ kuwa Tyga amenunua gari hilo aina ya ’2014 convertible Maybach 62 S Landaulet’ lenye thamani ya $1.3 mil. Hata hivyo, Tyga ametumia karibu dola milioni 1 kulipamba.
Kampuni maarufu ya West Coast Customs imeipimp gari hiyo kwa kuongeza vitu mbalimbali ikiwemo TV yenye inch 40.
Tyga anaungana na Jay Z na Bird Man wanaomiliki gari aina hiyo. Inasemekana kuwa Tyga amepanga kuionesha gari hiyo kwenye video yake ya “Wake Up In It.”

Birdman na Nicki Minaj wakiwa ndani ya 2014 convertible Maybach 62 S Landaulet


Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad