.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

List ya Mastaa wakike waliopendeza Usiku wa Tuzo za Watu 2015

                                  
Usiku wa Ijumaa (22/5/2015) story mitandaoni na kila sehemu ilikuwa kuhusu Tuzo za Watu 2015 (shukrani kwa bongo5 Media) kuandaa Tuzo ambazo zinafanyika kwa mara ya 2 tangu zianze mwaka 2014. 

Ukiongelea Washindi wa Tuzo za Watu basi ni asilimia 100 wamepata tutokana na kura za watu, Tuliweza kushuhudia washindi wa 2015.

Nimekuletea list ya mastaa wakike waliofika katika usiku huo wakiwa wamependeza  (Bofya Hapa kuona mastaa ambao hawa kuvaa on Point
(Bofya hapa kuona mastaa wakiume waliopendeza) pale Hyatt Hotel jijini Dar es salaam.





  • 1   Jackline Wolper 

Muigizaji wa bongo movie, Jackline Wolper amekuwa akitajwa sana kwenye mastaa wakike wanaoongoza kwa kuvaa.

Usiku wa Tuzo za Watu ulikuwa wenye mvuto kwa wolper baada ya kuendelea kushika chart yake ya mavazi kwa mastaa wakike kwa kutokelezea na style simple ila yakipee

IMG_0481IMG_0488

IMG_0483IMG_0492























  • 2   Jacqueline (K-Lynn)

Mke wa Billionea wa Kitanzania, Jacqueline ameshika namba 2 ya mastaa waliopendeza katika usiku wa Tuzo za Watu 2015, Picha inaeleza jinsi alivyovaa simple na kupendeza kwa hair style simple pia. 

K-Lynn ameachana na sanaa ya muziki baada ya kutamba miaka ya nyuma na sasa ametekwa na sanaa nyingine ya Designing kama alivyoeleza katika interview siku ya Tuzo za watu 2015. 

IMG_0432IMG_0426



  • 3   Vj Penny Mungilwa

Mtangazaji maarufu wa Tv/Radio, Vj Penny alikuwa Host wa Tuzo za Watu 2015, ndio tulitegemea awe na mavazi tofauti na unaweza kuona alivyo pendeza, Picha yakwanza very Beautiful, Picha ya Pili On Point, na yatatu akiwa na co-host wake ni very Hot Outfit..... Anastahili nafasi ya 3. Pia Penny alitangaza ujuio wake kwenye Tv na amesha shoot episode kadhaa.





  • 4  Jihan Dimack

Miss Tanzania number 2 (baada ya Sitti kujivua taji), Jihan Dimack alipendeza sana, pembeni akiwa na Ommy Dimpoz ni perfect partner... Ntamshauri arudie tena Miss Tanzania sipati picha namuona kwenye stage ya Miss World.

IMG_0335IMG_0360




  • 5  Wema Sepetu

Muigizaji wa Bongo Movie na mmiliki wa Endless Fame, Wema Sepetu huwa hakosei ukiongelea mavazi, tumekuwa tukimuona katika tuzo tofauti, ila kwa Tuzo za watu 2015 Wema alipendeza, alikuwa mwenye furaha bila shaka kuna ushauri wa martin kadinda katika vazi hili.....


IMG_0546IMG_0554


  • 6  Zamaradi Mketema


Mtangazaji wa Clouds Media, Zamaradi Mketema nae alikuwa miongoni mwa waliofika katika usikuwa Tuzo za Watu 2015, Alipanda on stage kuchukua tuzo yake ya filamu inayopendwa (Kigodoro). Zama alipendeza sana kwa gauni zuri kutoka @beautypointdar , style ya nywele ilikuwa simple ila on point. Beautiful Zama 



  •  7   Faiza Ally 

Aliyekuwa mke wa Mhe. Joseph Mbilinyi, Faiza Ally huwa ana style yake yakipee ukiongelea mavazi, huweza kuja na style yoyote ile na wakati wowote, kwa usiku wa Tuzo za Watu 2015 alikuwa miongoni wa mastaa waliopendeza kwa wazi lenye style simple na yenye utofauti  



IMG_0072




  • 8   Queen Darleen

Mwanamuziki na Mtangazaji, Queen Darleen alikuwa miongoni mwa mastaa waliofika katika Tuzo za Watu 2015 na kupiga picha katika red carpet na vazi simple sana lililompendeza, Utofauti wa Queen kwenye mavazi umeonekana kwani hajazoeleka na vazi alovaa usiku wa tuzo za watu 2015. 

IMG_0263IMG_0269




Niandikie List yako Ungempa nani 1 - 8...?

kusoma List ya Mastaa wakiume waliopendeza BOFYA HAPA
Kusoma list ya Mastaa wakiume waliovaa Off-Point BOFYA HAPA





Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad