Usiku wa Ijumaa (22/5/2015) story mitandaoni na kila sehemu ilikuwa kuhusu Tuzo za Watu 2015 (shukrani kwa bongo5 Media) kuandaa Tuzo ambazo zinafanyika kwa mara ya 2 tangu zianze mwaka 2014.
Ukiongelea Washindi wa Tuzo za Watu basi ni asilimia 100 wamepata tutokana na kura za watu, Tuliweza kushuhudia washindi wa 2015.
Nimekuletea list ya mastaa waliovaa off point katika usiku huo. (Bofya Hapa kuona mastaa makiume waliopendeza zaidi)
(Bofya hapa kuona mastaa wakike waliopendeza zaidi) pale Hyatt Hotel jijini Dar es salaam.
Ukiongelea kuwa Off Point, yani kama staa uwezi kufika katika tuzo kubwa nchini ukiwa umevaa mavazi tofauti na muonekano wa Tuzo.
"Siku hizi wabongo wanaanza kuelewa maana ya red carpet japo walovaa slipers na flat-shoes hope next time hawataharibu picha." aliandika shabiki.
- 1 John na Mubah
Co-Hosts wa MkasiTv show, John na Mubah walishuhudia usiku wa Tuzo za Watu 2015 na kuondoka na tuzo ya Kipindi cha Tv kinachopendwa, unaweza kuona jinsi ilivyokuwa siku nzuri, ila sijui kama hawakupanga kuja au waliamua kutoka simple ila sio kwa flat-shoes ...
- 2 Ben Pol
Msanii na Hit Maker wa nyimbo ya 'Sophia' Ben Pol alikuwa mmoja wa mastaa walioweza kushuhudia Tuzo za Watu 2014 na 2015, ila kwa 2015 Benpol alipatwa na mteremko kwa utofauti wa vazi lake kulinganisha na misimu miwili ya Tuzo za Watu aliofika. Alivaa simple sana mpaka akapitiliza. Tulifurahi kukuona Benpol au alicheewa kupata ticket
Ben Pol Tuzo za Watu 2014 |
Ben Pol Kushoto (Tuzo za Watu 2015) |
- 3 Ambwene Yesaya (A.Y)
Mwanamuziki anaetamba na ngoma ya 'Zigo', A.Y alifika katika usiku wa Tuzo za Watu 2015 na kupata picha katika redcarpet kabla ya Interview.
AY alivaa simple sana (Shirt + Jeans + Casual Shoes) = Off Point
Stacey Francis "Honestly I am a true fun wa AY but men I don't like this photo of
yours, U dont seem like a star. Ulivyodress up yan like unaenda kijijini kwenu na
umesimama kama unapiga passport utafikiri umeambiwa mguu pande. Be a star bwana
our eyes on you remember! Just take an example from your fellows, Joh makini, Ommy dimponz n others."
- 4 King Majuto
Mchekeshaji maarufu nchini ambae pia ameingia kwenye list ya kushuhudia Tuzo za Watu kwa mara ya Pili huku akipata mteremko wa vazi kulinganisha na vazi la Tuzo za Watu 2014.
Tuzo za watu 2014 Tuzo Za Watu 2015
Niandikie List yako Ungempa nani 1 - 5...?
(Bofya Hapa kuona mastaa makiume waliopendeza zaidi)
(Bofya Hapa kuona mastaa wakike waliopendeza zaidi) |
0 comments :
Post a Comment