Mtangazaji maarufu wa Clouds Media, Fatuma Hassan ( dj fetty) ametangaza kuto acha kazi clouds labda mpaka atakapoa kuwa ameacha kazi ya utangazaji.
dj fetty akifanya yake...
Kupitia akaunti yake ya facebook na Instagram aliandika jibu kutokana na swali lililokuwa likiulizwa/kuongelewa na wengi kuhusu yeye kuondoka clouds fm na kufanya kazi sehemu nyingine tofauti.
Dj fetty aliandika hivi...
"Inakuwaje? Sijui ni nani ameandika kuna swali nimeona linaulizwa na watu wengi. Ningependa kujibu kwa ufupi. SIJAONDOKA CLOUDS, NIPO NILIKUWEPO NA NITAENDELEA KUWEPO. Nikiondoka Clouds ujue nimeacha kabisa kazi ya utangazaji... Asanteni kwa kuuliza..mbarikiwe."
Baadhi ya mashabiki wa dj fetty walikuwa na maswali na ushauri kuhusu jibu la mtangazaji wa 'xxl' na 'so fresh' za clouds radio.....
Ezekiel Mwombeki Yani hufikirii hata kupasua anga za kimataifa kwenye media kubwa duniani unawaza hapa tu ??
Divai Mkeiya Zuberi Umetisha Pamoja sana Big up #AllTeamClouds....,
Alex William Ruhigi we Fetty wewe!!! mwogope Mungu!!! we ukipewa offer na BBC yeny uref ka wa twiga utagoma wewe!!
Zakayo Tave Ukiacha kutangaza nitakumic sana dada #fetty
kim_do_leeunaweza sana kutangaza @thebestfetty sawaa tumeskiaaa
Ashraf Ngomuo fkiria mbali huko mbele mbele mtoto fetty
Princ Urassa Safiiiiiiii sanaaaa iyooooo nibrandi kubwa utaondokaje sasa
Meshack Alex Hahahhaahha!umenichekesha kwel yaan unamanisha maisha yako kikaz yanakomea #clouds?pow maisha ni malengo labda hayo ndo yalikuwaga malengo yako hatuwezi jua!
0 comments :
Post a Comment