Mshiriki wa Big brother the Chase Feza Kessy amefika Tanzania leo usiku saa moja akitokea South Africa. Airport kulikuwa na mama yake mzazi,kaka yake,mwanae,team ya Multi choice ikiongozwa na Barbara pamoja na mashabiki wengi. Hizi ni baadhi ya picha jinsi ilivyokuwa, picha nyingine na video zinakujia hivi karibuni.
HATIMAYE FEZA KESSY ATUA BONGO KUTOKA BBA,TAZAMA PICHA ZA MAPOKEZI YAKE HAPA
Mshiriki wa Big brother the Chase Feza Kessy amefika Tanzania leo usiku saa moja akitokea South Africa. Airport kulikuwa na mama yake mzazi,kaka yake,mwanae,team ya Multi choice ikiongozwa na Barbara pamoja na mashabiki wengi. Hizi ni baadhi ya picha jinsi ilivyokuwa, picha nyingine na video zinakujia hivi karibuni.
0 comments :
Post a Comment