Cheki unga wake katika Ndoo, yaani Kiuswazi zaidi, Mazingira sasa yaani Ndo Kiuswazi Hasaaaa.!!! Au ndo kusema Simba anapozidiwa.
Harafu ujidai kusema wewe upendi ugali wakati ndiyo chakula kikubwa kwetu Afrika, mi nawasifu sana watu hawa maana wakija huku wanacopy kila kitu tunachofanya kuanzia mavazi na mambo mengine. Hii yote ni kuwafanya kuendana na mazingira watakayokuwepo muda huo. Tena huyu jamaa anaonekana anajua kuchambua mpaka dagaa na kuhusu misosi ya kiafrika.

0 comments :
Post a Comment