Friday, 20 September 2013

ANGALIA VIDEO NA PICHA ZA RONALDINHO ATUMIA €50,000 ILI KUFANYIA MAKARABATI MENO YAKE


               Kabla                                                      Sasa
 
 
Angeishi maisha yake yote bila kufanya tangazo la dawa za meno ila kwa sasa naamini kampuni nyingi zita mtafuta Ronaldinho baada ya kufanyiwa marekebisho kwenye meno yake. Meno ya mwana soka huyu yalimsumbua kwa muda mrefu kwani alikuwa akitaniwa na kushindwa kujiamini mbele za watu kwa sababu ya kuwa na meno mabovu.

Ukizingatia alishawahi kuwa mmoja ya wachezaji wanaolipwa zaidi duniani asingeshindwa kulipa Pauni 50,000 kwa marekebisho haya.

No comments:

Post a Comment