.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

CHA UVUNGUNI: MTOTO WA MWAKA MMOJA APIGWA RISASI NA KUFA HAPO HAPO




NYPD car


Antiq Hennis(1) alikua kwenye push chair amepigwa risasi usoni huko Brownsville maeneo ya Brooklyn saa mbili na dakika ishiri(19:20) siku ya Jumapili (23:20 GMT).
Alie kusudiwa kupigwa risasi hiyo ni baba yake mzazi ..
Wazazi wake walimpeleka mpaka hospitali ambapo ndipo hapo madaktari walipo sema kwamba amefariki kutokana na kupigwa risasi hiyo upande wa kushoto wa sura yake
shahidi Gina Gamboa, 23, amewambia Newyork Post ''nilisikia risasi kama 3 to 4''
''nilimuona mwanaume akipiga kelele: 'mwanangu kapigwa risasi mwanagu kapigwa risasi' alikua kama chizi''

Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad