Chatu mkubwa mwenye uwezo wa kumeza mtu mzima ameshikwa mjini Mombasa alipopatikana akimeza mbuzi mzima. Wakazi wanasema chatu huyo mwenye urefu wa zaidi ya mita tano na uzito unaokadiriwa kuwa kilo hamsini amekuwa hatari na tishio la usalama kwa watu kando na kwamba amekuwa akila mifugo. Watu waliotaka kumwua waliishia kutoroka kwa kuogopa ukubwa wake
CHATU AKAMATWA AKIMEZA MBUZI

0 comments :
Post a Comment