Friday, 20 September 2013

HII NDIO TAREHE YA BBM KUANZA KUTUMIKA KWENYE ANDROID NA iPHONE

 BBM For All
Kama ulikua hautumii Blackberry na ulikua unatamani sana kutumia BlackberryMessenger (BBM) basi kaa mkao wa kula .....

BBM itaanza kutumika kwa wateja wa Android  dunia nzima kuanzia mwezi wa tisa (9) tarehe 21/9/2013..Huku kwa wateja wa iPhone itaanza tarehe 22/9/2013...kama mnavyo jua BBM ilikuwa kwa ajiri ya wateja wa Blackberry tu lakini sasa utakua unadownload bure kupitia Google Play na App Store
(dont qoute me wrong huu ni mtazamo wangu ..Mauzo ya Blackberry sasa yataanza kushuka labda nao walete Instagram kwenye Blackberry) je wewe mtanzamo wako ni upi

No comments:

Post a Comment