Friday, 20 September 2013

MAMBO 10 USIO YAJUA KUHUSU ROSE MUHANDO

 
1- Amekulia Morogoro Tanzania

2- Alivyokuwa mtoto Rose alikuwa akihudhuria Madrasa -mafumzo ya kislamu kila baada yakutoka shule

3- Ugonjwa wa Ajabu ulimfanya Rose alale kitandani kwa takribani Miaka mitatu

4- Baade baade huku akiwa devout Muslim, Muhando alisema kwamba ameona miujiza ya Yesu na ndio imemponesha

5- Kwa ushahidi wa akauti yake alisema hivi ''mimi ni Yesu, nimekuponya amkaa na uwende kunitumikia'' baada ya hapo akawa amepona na baadae akabadilisha kutoka Uislam mpaka kuwa Mkristo

6- Alibatizwa kuwa mkristo wakati wa Pasaka

7- Ameanza safari yake ya kuimba kama mkuu wa qwaya huko Dodoma katika qwaya ya Sait Mary's

8- Alifukuzwa kanisani baada ya kukataa maombi ya kurekodi na qwaya ya kanisa

9- Bado ajaolewa lakini anawatoto watatu kati ya miaka 9 na 14

10- Rose Muhando amesema hato funga ndoa kwa kuwa mipango yake ni kumtukuza Mungu tu.


No comments:

Post a Comment