
Baada ya mtoto huyo kuto kwenda shule kwa sababu alikua anenda kumuona Raisi wa Marekani President Barack Obama ....Mara tu baada ya Rais Huyo kuguundua kuwa Mtoto huyo hakwenda shule kisa kuja kumuona yeye basi Obama akachukua karatasi na kumuandikia Note apeleke shule kesho yake ,,....hio note inavyosemekana ni kwamba aliandika sababu ya huyo mtoto kuto kwenda shule siku io....
0 comments :
Post a Comment