-
YEYE NI NANI
Yeye ni mtoto wa Prince Charles and Princess Diana. -
KABLA YA UMAARUFU
After finishing his studies at Elton in 2003, he spent a gap year in Australia, working on a cattle station. -
YA UKWELI KUHUSU YEYE
Alikua yupo mstari wa mbele kwenye vita za Afghan kwa siku 77, Na alitia aibu katika Royal Family baada ya picha kusambazwa zikioneshe akicheza kwenye bwawa la kuogelea na akila starehe usiku wa manane kwenye vyumba vya hoteli ya Vegas mnamo mwaka 2012 -
FAMILIA YAKE
Yeye ni memba wa Royal Family na pia ni kijana mpole wa Elimar I, Count of Oldenburg. - Baba yake amekuwa na uhusiano wa muda mrefu na Camilla Parker Bowles, the Duchess of Cornwall.
About feisal pinto
Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
0 comments :
Post a Comment