Ofisi yake imesema Mwanamke huyo alikimbizwa hospitali kwa ajili ya mapumziko na kufanyiwa vipimo.
Mwanamke huyo ambaye yupo kwenye mahusiano na Mr Hollande bila ya ndoa alikimbizwa hospitali mara baada ya jarida la Closer kuchapisha picha zilizoonyesha mahusiano yake ya nje.
Kiongozi huyo wa Ufaransa hajakataa kwamba alifanya ziara ya siri kumtembelea muigizaji wa kike aitwaye Julie Gayet kwenye gorofa karibu na Elysee Palace ila amehoji kwa nini aingiliwe uhuru wa maisha yake binafsi.
0 comments :
Post a Comment