.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

PICHA KIBAO ZA SERENGETI FIESTA MKOANI MOROGORO

Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' akiwapagawisha wananchi waliohudhuria Tamasha la Serengeti Fiesta 2013 mkoani Morogoro usiku wa kuamkia leo.
Temba na Chegge wakilishambulia jukwaa la Serengeti Fiesta 2013 mkoani Morogoro.
Nyomi iliyohudhuria shoo hiyo.
Juma Nature akifanya vitu vyake stejini.
Afande Sele kazini.
Msanii Sharif Thabit 'Darasa' akiwarusha mashabiki.
Dully Sykes akilipamba tamasha hilo.
Young Killer akiwadatisha mashabiki.
Mashabiki wakifurahia burudani za Serengeti Fiesta 2013.


IMG_6216 

ssswww                                   Dj Zero akiwa kazini
ssas (2)                                                       
ssas (1)

sdsssNey Lee
IMG_6156                                               Anorld Kayanda,Gea Habib,mdau na Mpokij                          Watu walikuwa ni wengi kama kawaida ya show za fiesta
k

IMG_6092
Recho akiwa na madancer wake


Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad