kwenye show ya Kili music tour Leaders,wakati nalejea
nyumbani ilinibidi nipite nyumbani kwa Kaka angu,ndugu yangu..Baba
ya bongo movies,Ray kigosi kumsalimia kidogo,ile nafika tu nikamkuta ana
hangaika kudance
Ngololo,sijui na yeye anataka Ipad..ha ah ha ....!!!
Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
0 comments :
Post a Comment